Agizo la Rais Magufuli kwa Muhimbili kuhusu mgonjwa aliyekuwa anaishi kwenye handaki Mlimani latekelezwa
Mgojwa huyu ni ndugu Chacha Makenge ambaye habari zake zilitangazwa
katika vyombo mbalimbali vya habari mwaka 2013 kujichimbia handaki
aliloligeuza makazi yake, katika eneo la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
sehemu ya Mlimani.
No comments:
Post a Comment