Ofisa
Uchaguzi na Utawala Bora wa Halmashauri ya Kisarawe, Constantene
Mnemere, akizungumza na washiriki wa mdahalo wa amani wakati wa uchaguzi
kwa watendaji wa Serikali za Mitaa,Polisi na watumishi wa Halmashauri
hiyo jana.
Ofisa
Habari wa Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA), Goodness
Mrema, akielezea muongozo wa mdahalo wa amani kwa wenyeviti, watendaji
wa serikali za mita na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani
jana, wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati wa uchaguzi.
Mwanasheria
kutoka Chama Cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) Sara Kinyaga,
akiwasilisha mada mbalimbali wakati wa mdahalo wa kujadili amani wakati
wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Baadhi ya
washiriki wakimpongeza Mwanasheria kutoka Chama Cha Wanasheria Wanawake
(TAWLA) (kushoto) baada ya kuanzisha mjadala wa amani wakati wa uchaguzi
mkuu, wilayani Kisarawe mkoani Pwani jana.
No comments:
Post a Comment