Picha 11 za Mafuriko Ya Magufuli Jijini Dar Es Salaam-Oktoba 21,2015 - LEKULE

Breaking

22 Oct 2015

Picha 11 za Mafuriko Ya Magufuli Jijini Dar Es Salaam-Oktoba 21,2015

Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwasalimia baadhi ya wakazi wa mji wa Kigamboni,waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana uwanja wa Machava Kigamboni .


Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Machava Kigamboni
Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kampeni wa CCM kwenye uwanja wa Zakhem Mbagala.
Umati wa wananchi wa Mabagala waishangilai jambo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Zakhem Mbagala,jijini Dar
Dkt Jonh Pombe Magufui akiwahutubia wananchi wa Mwembeyaga wilayani Temeke kwenye mkutano wa kampeni kuomba kura wananchi ili apewa ridhaa ya kuwaongoka katika kipindi cha awamu ya tano.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa TP Sinza katika jimbo la Ubungo jijini Dar es salaam.
Dkt Asharose Migiro akimwombea kura za ushindi wa kishindi mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya TP,sinza jijini Dar.
Jaji mstaafu Joseph Sinde Warioba akimpigia debe Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Biafra Kinondoni jijini Dar es salaam.


No comments: