Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 22 - LEKULE

Breaking

22 Oct 2015

Matokeo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara October 22

Ligi Kuu soka Tanzania bara iliendelea tena leo October 22 kwa michezo minne kupigwa katika viwanja vinne,  JKT Ruvu walikuwa wenyeji wa  Mtibwa Sugar ya Morogorokatika uwanja wa Karume wakati Ndanda FC walikuwa wenyeji wa Azam FC katika uwanja wa Nangwanda.
Mwadui FC ya Shinyanga inayofundishwa na Jamhuri Kiwelu ilikuwa mwenyeji waMgambo Shooting ya Tanga katika uwanja wa Mwadui wakati Mbeya City ilikuwa mwenyeji wa African Sports ya Tanga katika uwanja wa Sokoine Mbeya.
IMAG0031 (1)
Matokeo ya mechi za leo October 22

No comments: