Mwakilishi
wa Shirika la Kuhudumia Watoto (Save The Children) Bi Mali lisson,
akitowa maelezo kabla ya kukabidhi Pikipiki kwa Wakuu wa Kitengo cha
Mkono kwa Mkono wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Viwanja vya
Wizara ya Afya Mnazi Mmoja.Zanzibar.
Mwakilishi
wa Shirika la Kuhudumia Watoto,(Save The Children) Bi Mali Lisson,
akimkabidhi Pikipiki Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar Mhe Mahmoud
Thabit Kombo, kwa ajili ya Wakuu wa Kitengo cha Mkono kwa Mkono
Zanzibar, jumla ya pikipiki tano zimetolewa kwa kitengo hicho
NAIBU
WAZIRI WA AFYA MAHMOUD THABIT KOMBO AKITIA SAINI BAADA YA KUPOKEA
PIKIPIKI TANO KWA AJILI YA KUWARAHISISHIA KAZI WAKUU WA VITENGO VYA
HUDUMA YA MKONO KWA MKONO WA WILAYA.NAIBU WAZIRI WA AFYA MAHMOUD THABIT KOMBA AKIZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI NA WAKUU WA VITENGO VYA MKONO KWA MKONO WALIOKABIDHIWA PIKIPIKI HIZO.
PIKIPIKI WALIZO KABIDHIWA WAKUU WA VITENGO VYA MKONO KWA MKONO KWA
AJILI YA KUWASAIDIA SHUGHULI ZA KUFUATILIA VITENDO VYA UDHALILISHAJI WA
KIJINSIA KWA WATOTO.
PICHA ZOTE NA MIZA OTHMAN –MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment