Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mhandisi Suleiman S.
Suleiman (katikati) akipokea zawadi ya sanamu ya ndege toka kwa Meneja
Mkuu wa kampuni ya Ndege ya Fastjet Afrika Mashariki Jimmy Kibati baada
ya viongozi wa kampuni hiyo kutembelea uongozi wa TAA na kufanya
mazunguzmo mafupi hivi karibuni. Anayeshuhudia ni Meneja wa mahusiano
kati ya Fastjet na Serikali, Engineer August Kowero.
No comments:
Post a Comment