Picha 6 za MAFURIKO Ya Lowassa Jana Jijini Dar es Salaam - LEKULE

Breaking

21 Sept 2015

Picha 6 za MAFURIKO Ya Lowassa Jana Jijini Dar es Salaam

Lowassa jana aliendelea na kampeni zake katika majimbo matatu ya Mkoa wa Dar es Salaam ambayo ni Ukonga, Kigamboni na Mbagala. Hizi  ni  Picha  Za  Maelfu  ya  Wananchi  waliofurika  Kumsikiliza