19 Sept 2015

MTENDAJI MKUU PDB OMARI ISSA KATIKA MAHAFALI YA 23 YA SHULE YA SEKONDARI YA ST. MARY’S MAZINDE


 Mtendaji Mkuu katika Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa aliyekuwa mgeni rasmi katika Mahafali ya 23 ya Shule ya Sekondari ya St. Mary’s Mazinde Juu akitoa zawadi kwa mmoja wa wanafunzi. 

 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Mary’s Mazinde Juu wakionesha vipaji vya  kuimba na kucheza wakati wa mahafali ya 23 shuleni hapo
 Sehemu ya wahitimu wa kidato cha nne katika mahafali katika Shule ya Sekondari ya St. Mary’s Mazinde Juu wakifuatilia matukio katika sherehe hizo
 Mmoja wa wazazi aliyeshiriki mahafali ya 23 ya Shule ya Sekondari St. Mary’s Mazinde Juu akichangia ujenzi wa maabara ya sayansi shuleni hapo
 Mkuu wa Shule ya Sekondari St. Mary’s Mazinde Juu, Sister Evetha Kilamba akikata keki maalum ikiwa ni moja ya shamrashamra za mahafali shuleni hapo.  
Mtendaji Mkuu wa PDB, Bw. Omari Issa akizindua maktaba mpya ikiwa ni sehemu ya sherehe za mahafali ya 23 katika Shule ya Sekondari ya St. Mary’s Mazinde Juu. (Picha Kwa Hisani ya PDB).

No comments:

Post a Comment