19 Sept 2015

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia Chama cha AFP Mhe Said Soud Said Amtambulisha Mbunge wa Jimbo la Wawi Pemba Wakati wa Kampeni zake.



Mgombea Urais kupitia Chama cha AFP Taifa Mhe:Said Soud Saidi akizungumza na wananchi wa shehia ya Furaha jimbo la Wawi kisiwani Pemba, baada ya kumtambulisha mgombea Ubunge jimbo hilo kwa wananchi wakati wa ufunguzi wa kampeni za Ubunge.
  Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha     AFP,Mhe:Said Soud Said akimtambulisha Mgombea            Ubunge Jimbo la Wawi kupitia Chama cha AFP Bi. Khairat Said Soud kwa wananchi wa Shehia ya Furaha Kisiwani Pemba
Mgombea Ubunge Jimbo la Wawi kisiwani Pemba kupitia chama cha AFP Taifa Khairat Said Soud, akinadi sera zake wakati wa ufunguzi wa kampenzi za Ubunge katika jimbo hilo, huko katika shehia ya Furaha jimbo la Wawi


Baadhi ya Vijana wakiwa na Bendera ya Chama cha AFP 

wakimsikiliza mgombea Ubunge wa Jimbo la Wawi Kisiwani 

Pemba, Khairat Said Soud wakati wa Ufunguzi wa kampeni 

za Ubunge katika jimbo hilo huko katika shehia ya Furaha 


Wilaya ya Chake Chake Pemba.

No comments:

Post a Comment