15 Sept 2015

HAPPY BIRTHDAY 21 AU NIWAITE 92


NAPENDA KUSEMA HAPPY BIRTHDAY 21 AU NIWAITE 92 HONGERENI SANA KWAKUIFIKIA TAREHE HII YA LEO NAHISI UKIIKUMBUKA TAREHE HII UNAKUMBUKA MENGI SANA LAKINI MUNGU NI MWEMA SANA KWAKO NA KWANGU PIA NINAKUOMBA TUZIDI KUPENDANA,KUSHIRIKIANA,KUSHAURIANA NA KUIHESHIMU MISINGI YA NIDHAMU ILIYOWEKWA NA WAKUBWA WETU WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI WAPUMZIKE PEMA PEPONI LAKINI KATIKA YOTE KAMA MWENYEZI MUNGU ALIVYOUFANYA UPENDO UWE NDIYO AMRI KUU BASI NASI HATUNA BUDI KUISHI KWA KUPENDANA.

  Ujumbe wangu umekuwa wa vificho sana lakini imani yangu kuwa wale walengwa wa ujumbe huu tumeelewana na tafadhali usieleze zaidi kama umenielewa nawe endelea kutumia maneno ya vificho.

No comments:

Post a Comment