Mwenyekiti
wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto mstari wa
mbele Bw. Bahatisha Selemani Mkala akipokea
Cheti cha Usajili wa Chama hicho kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati
wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo
ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa
Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti cha usajili Bw.
Bahatisha Selemani Mkala akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya madereva ambao ni wanachama wa chama hicho mara
baada ya kukabidhiwa cheti hicho katika Ofisi za Msajili zilizopo Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi,hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment