Habari
Njema kwa wale wapenzi wa Bongo Fleva kundi la Navy Kenzo limerudi na
ngoma yao mpya iitwayo Game waliomshirikisha Vanessa Mdee (VeeMoney).
Kama
wewe ni mpenzi wa miondoko flani ya dancehall yenye fleva ya kibongo
basi Navy Kenzo na VeeMoney wamekurahisishia kazi kwenye ngoma hii.

No comments:
Post a Comment