Chiku
K amesema kuwa "madem" wanaofanya muziki wa Hip Hop kila wanapotoa
ngoma hawapewi saporti ya kutosha hivyo kuwafanya krudi nyuma.
Pia Chiku K amesema kwa kuwa kwa sasa muziki wa kuimba ndiyo unaopewa sapoti ya kutosha sasa atakuja na style ya kuimba na kurap ili aweze kufanikiwa lakini endapo akishidikana basi ataaamua kuimba moja kwa moja.

No comments:
Post a Comment