Jiji la Nairobi na nchi ya Kenya kwa ujumla, linategemea kupokea ugeni mzito wa Rais wa Marekani Barrack Obama.
Ikiwa ni masaa machache kabla ya Obama kutua katika ardhi ya nchi hiyo, wanaume wawili wameibuka na kufunga ndoa hadharani kama ishara ya kufurahia ujio wa Obama lakini pia wakiamini kutasaidia kushinikiza serikali ya Kenya kuruhusu ndoa za jinsia moja.
Tazama picha zao hapo chini kisha tuachie maoni yako.

No comments:
Post a Comment