NAIBU SPIKA JOB NDUGAI AMPA KICHAPO MPINZANI WAKE HUKO KONGWA
Habari zilizopo ni kwamba katika harakari za kura za maoni huko jimboni Kongwa naibu spika wa bunge Mh.Job Ndugai amempa kichapo mpinzani wake hadi kuzimia na amepelekwa hospital habari zaidi zitakujia hapa hapa endelea kufuatilia mtandao huu
No comments:
Post a Comment