Magufuli Apata Mapokezi ya Kutisha Kibaigwa
Mgombea
Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Kibaigwa, Mkoani Dodoma leo
asubuhi , wakati akiwa njiani kurejea jijini Dar es Salaam akitokea
Mkoani Geita.

No comments:
Post a Comment