WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA‏ - LEKULE

Breaking

7 May 2015

WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK.RASHID SEIF AFUNGUA SEMINA KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU USALAMA WA CHAKULA‏


Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Rashid Seif (kushoto), akihutubia wakati akifungua semina ya siku moja kwa waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu usalama wa chakula. Kulia ni Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora.

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), nchini Tanzania, Dk.Rufaro Chatora akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Donan Mmbando (kushoto), akizungumza katika ufunguzi wa semina hiyo.

Mkuu wa kitengo cha usalama wa chakula maji na usafi wa mazingira wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Stephen Kiberiti akitoa mada kuhusu rasimu ya sera ya taifa ya chakula salama na bora katika semina hiyo.

Mkurugenzi Msaidizi Elimu ya Afya kwa Umma, Helen Semu (kushoto), akiteta jambo na Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Raymond Wigenge wakati wa semina hiyo. Wakurugenzi hao walikuwa watoa mada katika semina hiyo.

No comments: