Kutoka Maktaba Yangu: Masika Ya 1989 Ilikuwa Kama Hii, Lakini.. - LEKULE

Breaking

10 May 2015

Kutoka Maktaba Yangu: Masika Ya 1989 Ilikuwa Kama Hii, Lakini..



Tofauti na sasa, wakazi wengi wa Dar es Salaam hawakuwa wamejenga mabondeni kando ya Mto Msimbazi. Msimbazi iliweza kumudu kupitisha maji kwenda baharini. Pichani ni Barabara Ya Uhuru ikiwa imejaa maji. Picha hiyo niliipiga majira ya asubuhi jirani na Mtaa Congo.
Wakati huo miundo mbinu ya barabara haikuwa mizuri kwa maana barabara nyingi za mjini zilikuwa na mashimo na mifereji iliyoziba.

No comments: