TANZIA ABDU BONGE AFARIKI DUNIA. Aliyewahi kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdu Bonge amefariki dunia ghafla usiku huu akiwa nyumbani kwake. Akizungumza na EATV, mmoja wa wasanii aliye kundi la Tip Top Connection Madee, amesema kuwa bado hajafahamu chanzo cha kifo ila amefariki ghafla usiku huu akiwa nyumbani na msiba upo Manzese Tip To
29 Mar 2015
New
TANZIA

About SOSTENES LEKULE JR
Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment