Ommy Dimpoz alivyorushwa kichurachura na Wanajeshi pale Lugalo{video} - LEKULE

Breaking

19 Jan 2016

Ommy Dimpoz alivyorushwa kichurachura na Wanajeshi pale Lugalo{video}

Ommy Dimpoz ni staa mmiliki wa single ya ‘achia body’ ambayo inachezwa kwenye TV na Radio za Tanzania sasa hiviwiki iliyopita Ommy alijikuta mikononi mwa Wanajeshi nje ya makao yao ya Lugalo na kupewa adhabu ya kuruka kichurachura, tazama hii video hapa chini ujue ilivyokuwa.

No comments: