Ibada maalum ya kumuombea Rais John Pombe Joseph Magufuli yafanyika jijini London - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Tuesday, 29 December 2015

Ibada maalum ya kumuombea Rais John Pombe Joseph Magufuli yafanyika jijini London

 Askofu Mkuu wa kanisa la CCBC Dr Sarpong (kushoto) kutoka Ghana na Pastor Bob kutoka Kenya wakiongoza Ibada maalum ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli jijini London usiku wa kuamkia leo.
 Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akitoa neno la Shukurani wakati wa ibada hiyo jijini London
  Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akipongezwa baada ya kutoa neno la Shukurani katika Ibada hiyo jijini London
 Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akitwa na familia yake kwenye Ibada  hiyo jijini London
Wanakwaya wa kanisa la CCBC wakiimba kwenye Ibada hiyo jijini London
 Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mhe. Msafiri Marwa akipata picha ya pamoja na wanakwaya na viongozi wa kanisa la CCBC baada ya kumalizika kwa Ibada hiyo jijini London
 Baadhi ya wadau walioshiriki kwenye ibada maalum ya kumuombea Rais Magufuli London

Viongozi wa CCM Tawi la London walikuwepo pia kwenye Ibada hiyo maalum.
Post a Comment