Edward Lowassa Atoa Mkono wa Pole Kwa Wagonjwa Hospitali Ya Kilimanjaro CRCTAliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kuungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, akimjulia hali mzee Khalfan Kangero (95), pamoja na wagonjwa wengine katika Hospitali ya Kilimanjaro CRCT mjini Moshi jana akiwa njiani kuelekea Monduli mkoani Arusha kwa mapumziko ya kuuaga mwaka.
Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Powered by Blogger.