Wanafunzi wanufaika na mradi wa kompyuta mashuleni - LEKULE

Breaking

17 Sept 2015

Wanafunzi wanufaika na mradi wa kompyuta mashuleni


006.MTAKUJAWanafunzi wa kidato cha pili wa  shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam,wakimsikiliza mwalimu wao wa masomo ya Sayansi Elibariki John,akiwafundisha somo hilo kwa vitendo kupitia kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.
002.MTAKUJAMwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam, Elibariki John akiwaelekeza wanafunzi wa kidato cha pili, Jacqueline James(kushoto) na Ibrahim Juma  wa shule hiyo jinsi ya kutafuta  taarifa za maarifa ya masomo  ya sayansi kwa njia ya kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.
003.MTAKUJA
Picha ya juu na chini baadhi ya wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam, wakiendelea kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta mpakato zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaosimamiwa na Learning In Sync.
004.MTAKUJA (1)Masomo yakiendelea….
005.MTAKUJAMariam Mwishaha na Khairat Massoud – wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari ya Mtakuja iliyopo Kunduchi Mbezi beach jijini Dar es Salaam wakimsikiliza kwa umakini Mwalimu wa masomo ya Sayansi wa shule hiyo,Elibariki John(kushoto) wakati akiwafundisha masomo hayo kupitia kompyuta mpakato walizopatiwa msaada na Vodacom Foundation miezi mitatu iliyopita kupitia mradi wake wa kompyuta mashuleni unaoendeshwa na Learning In Sync.

No comments: