Tusker Fanyakweli Kiwanjani yawakuna wakazi wa Mbezi Beach na Kimara wiki hii - LEKULE

Breaking

16 Sept 2015

Tusker Fanyakweli Kiwanjani yawakuna wakazi wa Mbezi Beach na Kimara wiki hii


CAMPIX PRODUCTION
Mteja wa bia ya Tusker Bi. Elizabeth Ulomi (katikati) akizungumza na mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kushoto) kabla ya kupokea zawadi yake ya mfuko na fulana wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi beach jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker. 
CAMPIX PRODUCTION
Mteja wa bia ya Tusker Ezra Mlawa (katikati) akizungumza na mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (kulia) mara baada ya meza yake kufikiwa na zawadi ya bia za bure na fulana katika hafla ya kuipongeza baa ya Miti Mitatu iliyopo Kimara-Korogwe jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker,(Kushoto) ni balozi wa bia hiyo Veronica Mbilinyi. 
CAMPIX PRODUCTION
Mpenzi wa bia ya Tusker aliyefahamika kwa jina la Kikya Mathias akizungumza na mshereheshaji wa promosheni ya Tusker Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash kabla ya kupokea zawadi yake ya mfuko na fulana wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi Beach jijini Dar es salaam ambayo iliibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker.
CAMPIX PRODUCTION
Mshereheshaji wa kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani Gadner Habash (aliyesimama) kwenye picha ya pamoja na Bw. Cheni Omary ambaye alijishindia bia za bure na fulana wakati promosheni ya Fanyakweli Kiwanjani ilipokua ikiendelea katika kiwanja cha Miti Mitatu kilichopo Korogwe jijini Dar es salaam.
CAMPIX PRODUCTION
Mkazi wa Kibaha-Pwani Bi Emelda Joseph akipokea zawadi ya fulana toka kwa Msimamizi wa Mauzo wa Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Ubungo Victor Mhindi katika hafla ya kuipongeza baa ya Miti Mitatu ya Kimara-Korogwe jijini Dar es salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker.
CAMPIX PRODUCTION
Mteja wa muda mrefu wa bia ya Tusker na mkazi wa Goigi, Mbezi Beach aliyefahamika kwa jina moja tu la Chong akiifurahia bia hiyo huku akikabidhiwa zawadi yake ya fulana na Msimamizi wa Mauzo ya Kampuni ya bia ya Serengeti kanda ya Mbezi Beach Obedi Salema katika hafla ya kuipongeza baa ya Coast Pub iliyopo Tangi Bovu-Mbezi Beach jijini Dar es salaam mara baada ya baa hiyo kuibuka mshindi wa wiki kwenye kampeni ya Fanyakweli Kiwanjani inayoendeshwa na bia ya Tusker.
Promosheni hii inaendelea mikoani pia huku lengo kuu likiwa ni kuhamasisha baa mbalimbali za mitaa inayotuzunguka kufanya kweli linapokuja suala la utoaji huduma kwa wateja lakini pia kuzisaidia baa hizo kuongeza mauzo ya siku wakati wa promosheni.

No comments: