Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communication, Francis
Nanai, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana
Feb 13, 2015 kwa mazungumzo na kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa
kushika nafasi hiyo. Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bakari
Machumu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Teddy
Mapunda Mshauri wa Kampuni ya Mwananchi Communication Ofisini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Uongozi wa juu wa Kampuni ya Mwananchi Communication, Mkurugenzi Mtendaji Francis Nanai (katikati) na Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bakari Machumu, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Feb 13, 2015 kwa mazungumzo na kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo na kuelezea kazi zinazofanywa na kampuni hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communication, Francis Nanai
wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,jana Feb 13,
2015 kwa mazungumzo na kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kushika
nafasi hiyo na kuelezea kazi zinazofanywa na kampuni hiyo.
Makamu wa Rais wa jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja na Viongozi wa juu wa Kampuni ya Mwananchi
Communication,Mkurugenzi Mtendaji Francis Nanai (wa pili kushoto)
Mhariri Mtendaji Bakari Machumu (kulia) na Mshauri wa Kampuni hiyo,
Teddy Mapunda (kushoto) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam jana Feb 13, 2015. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment