Balozi wa Jamuhuri ya Cuba Nchini Tanzania Bwana Jorge Luis Lopez akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwa Mhe. Makamu Vuga Mjini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wa pili kutoka kulia akizaungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Cuba Nchini Tanzania Bwana Jorge Luis Lopez aliyepo kulia yake hapo Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.Kushoto ya Balozi Seif ni Katibu Wake Bwana Abdulla Ali Abdulla { Kitole } na kulia ya Balozi Lopezi ni Ofisa wa Idara ya Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Zanzibar Bwana Iddi Seif Bakari.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo wa Balozi wa Jamuhuri ya Cuba Nchini Tanzania Bwana Jorge Luis Lopez aliyefika Ofisini kwake Vuga kusalimiana naye.
No comments:
Post a Comment