Nelly Mwangosi Ashinda Nyumba ya Global - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Friday, 1 July 2016

Nelly Mwangosi Ashinda Nyumba ya Global

13529116_1206494709383398_8104726601975312744_n
Nyumba ya Global aliyojishindia Nelly Mwangosi.
Hatimaye Nelly Mwangosi ameibuka mshindi wa nyumba ya Global Publishers Ltd jana jioni katika droo kubwa iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mbagala Zakheem jijini Dar.
Nelly ni mama wa nyumbani mwenye umri wa miaka 45 anayeishi mkoani Iringa.

Akiongea baada ya kupigiwa simu na MC wa droo hii Mwangosi ameishukuru sana kampuni ya Global kwa kutoa zawadi hiyo ambayo itabadilisha maisha yake.
Post a Comment