Nancy Sumari na Luca Neghesti Wafunga Ndoa

nancy (2)
YAMETIMIA! Hivyo ndivyo tunaweza kusema kwa sasa baada kushi kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka mingi, hatimaye Mwenyekiti Mtendaji wa Bongo5 Media Group Limited, Luca Neghesti na Miss Tanzania 2005 ambaye pia ni Miss World Africa, Nancy Sumari kufunga ndoa juzi Ijumaa.
nancy (3)
Wawili hao wamefunga ndoa jana jijini Arusha na kuhudhuriwa na watu takriban 60 ambao wengi wao ni ndugu na marafiki zao wa karibu. Tunawapongeza kwa hatua hiyo kubwa kwenye maisha yao.
nancy (1)
Luca na Nancy ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bongo5 wamebahatika kupata mtoto mmoja wa kike aitwaye Zuri.
nancy (4)
nancy (5)
Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Powered by Blogger.