TP MAZEMBE YAIFUNGA YANGA GOLI MOJA UWANJA WA TAIFA - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Wednesday, 29 June 2016

TP MAZEMBE YAIFUNGA YANGA GOLI MOJA UWANJA WA TAIFA

index
Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Obrey Chirwa akiichambua ngome ya timu ya TP Mazembe, katika mtanange uliopigwa jioni ya jana kwenye dimba la Taifa (Uwanja wa Taifa) Jijini Dar es salaam, ikiwa ni Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Hadi kupanga cha mwisho kinalia, Yanga wamelala kwa bao 1-0.(Picha na michuziblog)
tai2

Mashabiki wakiwa wamefurikwa kwenye uwanja wa Taifa hata hivyo mwishowe wakaondoka vichwa chini baada ya timu yao kupoteza mchezo huo mbele ya mahasimu wao TP Mazembe.
Post a Comment