MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 30 June 2016

MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA


1
Mtendaji Mkuu wa Mahakama  Tanzania Bw. Hussein Kattanga akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Bi. Mary Shirima wakati wa maonyesho ya kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijin Dar es Salaam
3
Wanausalama wakiimarisha ulinzi katika viwanja vya sabasaba ili wafanyabiashara na wananchi waweze kufanya shughuli zao kwa amani.
4
Mwanafunzi kutoka chuo cha VETA wa pili kutoka kulia akiwaelekeza baadhi ya wananchi ubunifu wa kutengeneza boti itakayokuwa inatembea barabarani kwa kuendeshwa na dereva mpaka baharini
Picha na Benjamin Sawe
Post a Comment