WAZIRI WA ARDHI AKUTANA NA WAMILIKI WA MABENKI NCHINI - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 14 April 2016

WAZIRI WA ARDHI AKUTANA NA WAMILIKI WA MABENKI NCHINI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akutana na Wamiliki wa Mabenki Nchini ili kuzitambua Hati Miliki za Ardhi za Kimila katika kutoa mikopo kwa Wakulima, wajenzi na Wajasiliamali leo jijini Dar es salaam katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT).https://3.bp.blogspot.com/-PuCe2z0o2tE/Vw_E61NEwjI/AAAAAAAIirU/scWkpJ4nFN8Dob_WesQ5TcExjHXzzoO5ACLcB/s1600/1.JPGWaziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwasisitiza Wamiliki wa Mabenki Nchini kuzitambua Hati Miliki za Ardhi za Kimila katika kutoa mikopo kwa Wakulima, wajenzi na Wajasiliamali, kushoto ni Bibi Medelina Kiwayo Meneja Usimamizi wa Taasisi za Fedha-Benki Kuu na Tuse Joune Kaimu Mkurugenzi Mkuu Chama cha Wenye Mabenki Tanzania (TBA).https://4.bp.blogspot.com/-gsgPXzaeK50/Vw_E69EwaEI/AAAAAAAIirQ/rUonfJYgD0Ejej0kuMKJBcW-i3wv2tDfgCLcB/s1600/2%2B%25282%2529.JPG

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiwasisitiza Wamiliki wa Mabenki Nchini kuzitambua Hati Miliki za Ardhi za Kimila katika kutoa mikopo kwa Wakulima, wajenzi na Wajasiliamali alipo kutana nao leo jijini Dar es salaam.
Post a Comment