MKUU WA WILAYA YA SIHA AONGOZA WANANCHI KUPANDA MITI SIKU YA MAZINGIRA

Mkuu wa wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia anakaimu wilaya ya Hai,Dk Charles Mlingwa akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya mazingira kwenye chanzo cha uzalishaji umeme cha Kikuletwa kinachosimamiwa na Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),kushoto ni Makamu wa Chuo hicho(Utawala na Fedha)Mhandisi Dk Erick Mgaya.

Makamu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Mhandisi Dk Erick Mgaya akipanda mti wakati wa maadhimisho hayo eneo la Kikuletwa wilaya Hai mkoa wa Kilimanjaro.

Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai,mkoa wa Kilimanjaro,Said Mderu akipanda mti katika madhimisho hayo.

Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Mkuu wilaya kabla ya kuanza  upandaji miti kwaajili ya kutunza mazingira


Mkazi wa Kikuletwa akisikiliza kwa makini.
Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Powered by Blogger.