Suarez aisawazishia Uruguay dhidi ya BrazilLuis Suarez alifunga bao la pili na kuisawazishia Uruguay katika kipindi cha pili katika droo ya 2-2 dhidi ya Brazil katika mechi yake ya kwanza ya kimataifa tangu apigwe marufuku kwa kumng'ata mchezaji mwenzake katika kombe la dunia la mwaka 2014.

Mshambuliaji huyo wa Barcelona alikuwa hajaichezea Uruguay katika mechi ya kimataifa kwa takriban siku 640 kabla ya mechi ya kufuzu ya kombe la dunia siku ya Ijumaa.
Douglas Costa aliifungia Brazil baada ya sekunde 39 kabla ya Renato Augusto kuongeza uongozi huo katika dakika ya 26.
Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Powered by Blogger.