Picha 12 Dc Makonda alivyozindua jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la upasuaji hospitali ya Mwananyamala - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Sunday, 13 March 2016

Picha 12 Dc Makonda alivyozindua jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la upasuaji hospitali ya Mwananyamala

Leo march 13 2016, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda anaadhimisha mwaka mmoja tangu kuteuliwa kwake kuiongoza Wilaya hiyo, lakini jambo zuri zaidi alilolifanya katika siku hii ni pamoja na kuzindua jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la upasuaji, wagonjwa mahututi na mapumziko katika hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam.
Hapa nimekusogezea picha 12 kujionea tukio zima lilivyokuwa wakati wa uzinduzi..
IMG_6593
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akikata utepe
IMG_6598
IMG_6601
Dc Makonda na baadhi ya washiriki wakifurahi baada ya kukata utepe
IMG_6603
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akifungua kitambaa kwenye jiwe la uzinduzi
IMG_6631
IMG_6634
DC Paul Makonda akiongea na waandishi wa habari
IMG_6650
.
IMG_6676
Picha ya muonekano wa jengo litakavyokuwa baada ya kujengwa
IMG_6684
Jiwe la uzinduzi mara baada ya kukatwa kwa utepe
IMG_6688
IMG_6699
.
IMG-20160313-WA0014
Huu ndio muonekato katika muundo wa 3D namna jengo la upasuaji litakavyokuwa
Post a Comment