NAY WAMITEGO AWASHIKISHA TENA ADABU KWA ‘CLIP’ YA DIAMOND - LEKULE

Breaking

14 Mar 2016

NAY WAMITEGO AWASHIKISHA TENA ADABU KWA ‘CLIP’ YA DIAMOND


Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Ameandika mara baada ya Diamond Platnumz kuposti kipande cha Video ya onesho lake akiwa nchini Marekani

“Hii ni Show ya @diamondplatnumz Nje ya Tanzania uko Marekani. Haya na Nyie Wasanii wengine Mnao Post tu mkiwa kwenye Ndege na Airport off to Uk, off to Dubai, off to New York Nk. Muwe Mna post na Nyie show zenu sio mnatupigia kelele tu umu kwenye mitandao maana sijui mnaendaga kufanya nini uko Nje



.!! Acha mi nipige zile zangu za Chaka to Chaka kwa Swahili wenzangu.!! Na nitawapostia umu.!! Tukutane kwenye Mafanikio. Pumbufuuuu Shikeni Adabu Zenu. Saa Msanii akipost tu off to South Africa Mwambieni kesho yake apost na ilivyokua, sio unashtukia tu going back home.!!#ShikaAdabuYako”Screenshot_2016-03-14-14-07-12

No comments: