MVUA ZAHARIBU JIJI HEBU TAZAMA PICHA HIZI - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Wednesday, 23 March 2016

MVUA ZAHARIBU JIJI HEBU TAZAMA PICHA HIZINajua kuna watu wangu wanapenda kufuatilia muonekano wa miji na majiji mbalimbali ndani na nje ya Tanzania, na kazi yangu ikiwa ni kuhakikisha nakamilisha hitaji hilo, leo nakusogezea hizi picha 9 kutokea katikati ya Jiji la Dar es salaam leo March 23 2016 baada ya mvua kunyesha asubuhi.
20160323_101231
Maeneo ya Posta, Dar maji yakiwa yamejaa katika kituo cha tax
20160323_101417
20160323_101437(1)
20160323_101521
Muonekano wa barabarani
20160323_101537
Posta Dar es salaam, hali ya ubaridi pia ilijitokeza
20160323_122344
Wafanyabiashara na watembea kwa miguu nao hawakuacha kuendelea na mishemishe zao

20160323_122346

20160323_122352
Maji katika baadhi ya barabara yalitawanyika pia
Post a Comment