MKURUGENZI MKUU MPYA WA NSSF ATEMBELEA DARAJA LA KIGAMBONI - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Sunday, 27 March 2016

MKURUGENZI MKUU MPYA WA NSSF ATEMBELEA DARAJA LA KIGAMBONIMkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  akisalimiana na Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi wa NSSF, Yacoub Kidula.
Wataalamu wa ujenzi wa daraja la Kigamboni wakisalimiana na Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara.
Barabara za kuingilia darajani upande wa Kurasini.
Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo akionyesha njia za kuingia na kutoka darajani

Barabara ya kuingilia darajani upande wa kushoto na barabara ya kutokea mjini upande wa kulia. 

Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  (wa tatu kushoto) akipata maelezo kutoka kwa wahandisi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni wakati wa ziara yake ya kutembelea daraja la Kigamboni. 

Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  (katika) alipotembelea daraja wa Kigamboni jijini Dar es Salaam, daraja hilo linatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni baada ya kumalizika kwa ujenzi wake (P.T)

Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara (kushoto)akipata maelezo kutoka kwa Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo  wakati wa ziara ya kutembelea daraja hilojijini Dar es Salaam jana. Kulia ni  Meneja Mradi wa ujenzi wa Daraja hilo, Mhandisi, Karim Mataka
Muonekano la daraja la Kigamboni.
Meneja wa Miradi wa NSSF, John Msemo akitoa maelezo kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara alipotembelea sehemu ya kuingilia magari.
Sehemu ya kukatia tiketi wakati unapoingia na gari katika darala la Kigamboni.
Muonekano wa ofisi pamoja na Kituo cha Polisi ambazo zitatoa huduma katika daraja la Kigamboni. 
Njia za kuingilia darajani
 Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  (kushoto) akifafanua jambo wakati wa ziara yake ya kutembelea daraja la Kigamboni. Kulia ni  Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo na Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja hilo, Karim Mataka.
Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo  wakati wa ziara ya kutembelea daraja hilo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Meneja Mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mataka.

 Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni Mhandisi Karim Mataka akitoa ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  (katikati) alipofanya ziara ya kutembelea daraja hilo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni  Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo.

 Meneja Miradi wa NSSF, John Msemo akitoa maelezo kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara (katikati) alipotembelea daraja la Kigamboni le. Kulia ni Meneja Mradi wa Daraja hilo, Mhandisi Karim Mataka.

 Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  (kushoto), akizungumza na Meneja wa Miradi wa NSSF Mhandisi John Msemo (kulia) na Meneja Mradi Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mataka.

 Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  (kushoto) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo, 

Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara  (kulia)akifafanua jambo wakati alipotembelea daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo, daraja hilo litazinduliwa hivi karibuni. Kushoto ni Ofisa Mkuu Idara ya Masoko na Uhusiano NSSF, Eunice Chiume na wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi wa NSSF, Jacoub Kidula.

Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Tanifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akitoa maelezo kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof.Godius Kahyarara  (katikati), alipotembelea Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Miradi wa NSSF, Mhandisi John Msemo

MkurugenziMkuu mpya wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara.
Post a Comment