Mfahamu Mtanzania anayecheza soka Uingereza aliyekuja kuitumikia Taifa Stars - LEKULE BLOG

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, 26 March 2016

Mfahamu Mtanzania anayecheza soka Uingereza aliyekuja kuitumikia Taifa StarsAdi Yussuf ni mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya daraja la pili Uingereza kwenye klabu ya Mansfield Town. Adi pia amekulia katika klabu ya Leicester City ila kwa sasa yupo Tanzania kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Chad wa kuwania kufuzu michuano AFCON 2017 Gabon.
“Ni kweli mwanzo ilikuwa ngumu kwa klabu yangu ya Mansfield Town kuniruhusu nije Tanzania kwa sababu ilikuwa tunahitaji kupandisha timu, ila sasa wameniruhusu nije kuchezea timu yangu ya taifa” >>> Adi Yussuf
Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.