Hello

Welcome lekule blog

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation.
together in the world. #lekule86
Join us on

MATUKIO 10 YALIYOWATOA MACHOZI WACHEZA SOKA ULAYA

cover19
Mpira wa miguu ni mchezo wa aina yake na ndiyo mchezo pendwa kuliko yote duniani. Baada ya mchezo wa kwa kawaida kuna matokeo ya aina tatu kushinda, kufungwa na kutoka sare.
Watu wanatofautiana hisiakatika kupokea matokeo, tumekuwa tukishuhudia hisia tofauti kutoka kwa mashabiki, wachezaji au makocha baada ya timu zao kushinda au kupoteza michezo yao.
www.shaffihdauda.co.tz inakuletea top 10 ya matukio yaliyowafanya wachezaji wamwage machozi uwanjani.
10. Mario Balotelli– fainali ya Euro 2012
Balo
Mchezaji wa kimataifa wa Italia Mario Balotelli alilia kwenye mchezo wa fainali za Euro mwaka 2012 baada ya timu yake kupoteza mchezo kwa bao 4-0 dhidi ya Hispania.
Alijikuta akiangua kilio pale aliposhuhudia nahodha wa Hispania Iker Casillas akinyanyua ndoo.
Jack Wilshere –Arsenal v Birmingham, fainali ya Carling Cup
Wilshere 2
Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere alijikuta akimwaga machozi pale Arsenal iliporuhusu bao dakika ya 89 dhidi ya Birmingham City kwenye mchezo wa fainali ya Carling Cup baada ya kutokea mkanganyiko kati ya Wojciech Szczesny na Laurent Koscielny.
Goli hilo likazima kabisa ndoto za Arsenal kumaliza ukame wa aji kwenye kikosi chao.
Wachezaji pamoja na kocha wao walichanganyikiwa na kichapo hicho cha dakika za lala salama. Ilikuwa ni miaka sita imepita tangu timu yao ichukue kombe kwa mara ya mwisho na hiyo ilikuwa ngumu kukubali matokeo hayo kwenye mchezo wa fainali.
8. Cristiano Ronaldo– fainali ya Euro 2004
Ronaldo crying
Ni miaka 12 sasa tangu Cristiano Ronaldo aibuke kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ureno. alikuwa na miaka 19 wakati Ugiriki wanaikandamiza Ureno kwa bao 1-0 kwenye fainali ya michuano ya Euro iliyofanyika kwenye ardhi ya kwao  mwaka 2012. Baada ya filimbi ya mwisho, Ronaldo alikaa chini na kuanza kumwaga machozi.
7. Ronaldinho–Atletico Mineiro
Dinho
Ronaldinho alianza kulia baada ya kutupia kambani. Muda huohuo akapiga magoti na kuanza kulia huku wachezaji wenzake wawakiwa wamemzunguka.
Lilikuwa ni tukuio la kushangaza, hasa kutoka kwa mchezaji maarufu wa aina yake ambaye hutabasamu muda wote akiwa uwanjani.
Kilio hicho kilitokana na majonzi aliyokuwa nayo Ronadinho kutokana na kufiwa na baba yake wa kambo aliyefariki siku chache kabla ya mchezo kutoka na shambulio la moyo (heart attack)
6. John Terry–Champions League nusu fainali
Terry
Baada ya kichapo cha bao 3-1 dhidi ya Atletico Madrid kwenye michuano ya UEFA msimu wa 2013/24 hatua ya nusu fainali, nahodha wa Chelsea John Terry alishindwa kuelewa ni kwa jinsi gani timu yake imetupwa nje ya mashindano. Alishindwa kujizuia na kuanza kumwaga machozi.
5. Andrea Pirlo–Euro 2012 Final
Pirlo
Licha ya kuwa mchezaji aliyebarikiwa kiwango bora kwenye kikzazi chake na kufanikiwa kutwaa karibu mataji yote muhimu, lakini kabati lake halina taji la mataifa ya Ulaya (European Championships).
Mwaka 2012 alikaribia kutwaa kombe hilo na kuongeza la yale ya ligi ya Italia (Scudetto), Champions League na kombe la dunia.
Wakati wa michuano hiyo ambayo alitajwa kuwa man of the match kwenye michezo mitatu huku timu yake ikifuzu hatua ya fainali lakini tukio kubwa la kukumbukwa kwenye mashindano hayo ni ile penati aliyofunga dhidi ya England katika changamoto za mikwaju ya penati.
Kwa bahati mbaya alishindwa kuisaidia timu yake ya taifa kutwaa taji dhidi ya Hispania kwa kupoteza kwa bao 4-0 kwenye mchezo wa fainali.
Fundi huyo wa mpira alijikuta akifuta machozi kwa viganja vyake vya mikono licha ya kufanya mambo makubwa kwenye fainali hizo.
4. Luis Suarez–Liverpool v Crystal Palace, Premier League (2013/14)
Suarez
Baada ya Crystal Place kupiga bao 3 ndani ya dakika 10 wakitoka nyuma kwa bao 3-0 hadi sare ya magoli 3-3 dhidi ya Liverpool, nyota wa ‘Majooo wa Jiji’ wakati huo Luis Suarez alijifunika uso kwa jezi yake huku akilia.
Sare hiyo ilikuwa inafuta ndoto za Liverpool kushinda jombe la ligi ya EPL kwa msimu huo. Msimu wa 2023-2014 ulikuwa ni msimu ambao Liverpool walikaribia sana kushinda taji hilo kuliko wakati wowote.
“Ilikuwa inaumiza kukosa kombe la ligi. Huwezi kufungwa magoli matatu ndani ya dakika 10. Sikuwahi kuduwazwa uwanjani kwa kiasi kile”, alisema Suarez baada ya mchezo.
3.David Luiz – Brazil 2014, nusu fainali kombe la dunia
David Luis
Akikongoza kikosi cha Brazil kama nahodha kwenye mchezo wa kombe la dunia lakini alikiongoza kuyaaga mashindano hayo. Kukiongoza kikosi cha Brazil ni ufahari lakini haikuwa hivyo kwa David Luis.
Mchezo ulimalizika huku Brazil ikibebeshwa zigo la magoli 7-1 na Ujerumani na ikawa aibu kwake kuingoza nchi yake, alijikuta akibubujikwa na machozi mbele ya mashabiki waliofurika uwanjani kuishangilia timu yao wakiamini itafanya vizuri mbele ya wajerumani.
2. Iker Casillas– fainali ya Champions League 2014
CASILLAS
Iker Casillas alishibwa kuzuia furaha yake wakati walipokaribia kuweka rekodi ya kutwaa ubingwa wa Ulaya kwa mara ya 10 dhidi ya Atletico Madrid kwenye mchezo wa fainali uliopigwa Lisbon.
Atletico waliibana Madrid na kujikuta ikishindwa kupata bao la kusawazisha hadi dakika ya 92 baada ya Atletico kuwa mbele kwa bao 1-0. Sergio Ramos aliisawazishia Madrid dakika ya 93 na kuufanya mchezo huo kuongezewa dakika (extra time)
Mwisho wa siku Real Madrid ikashinda mchezo huo kwa bao 4-1 na kusherekea taji la 10 la Ulaya.
1.David Beckham – mechi yake yake ya mwisho PSG
Bechkam
Dakika ya 82 akiwa anafanyiwa mabadiliko kwenye mchezo wake wa mwisho akiwa mchezaji wa Paris Saint Germain, David Beckham aliangua kilio uwanjani.
Mashabiki 45,000 wakisimama kwa heshima kwa ajili ya nyota huyo wa zamani wa timu ya taifa ya England, aliwakumbatia wachezaji wenzake pamoja na wake wa timu pinzani kabla ya kutoka kumpisha Ezequiel Lavezzi.
Baada ya mechi wachezaji wenzake walimchukua na kumrusha hewani kwa heshima.

Share this:

ABOUTME

Hi all. This is deepak from Bthemez. We're providing content for Bold site and we’ve been in internet, social media and affiliate for too long time and its my profession. We are web designer & developer living India! What can I say, we are the best..

Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.

Labels

LEKULE TV EDITORIALS ARTICLES DC ROBOTICS DIGITAL SEMICONDUCTORS GENERATOR AC EXPERIMENTS MANUFACTURING-ENGINEERING REFERENCE FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY ELECTRONICS ELECTRICAL ENGINEER MEASUREMENT TRANSDUCER & SENSOR VIDEO ARDUINO RENEWABLE ENERGY AUTOMOBILE TEARDOWN SYNCHRONOUS GENERATOR DIGITAL ELECTRONICS ELECTRICAL DISTRIBUTION CABLES AUTOMOTIVE MICROCONTROLLER SOLAR PROTECTION DIODE AND CIRCUITS BASIC ELECTRICAL ELECTRONICS MOTOR SWITCHES CIRCUIT BREAKERS CIRCUITS THEORY PANEL BUILDING ELECTRONICS DEVICES MIRACLES SWITCHGEAR ANALOG MOBILE DEVICES WEARABLES CAMERA TECHNOLOGY COMMUNICATION GENERATION BATTERIES FREE CIRCUITS INDUSTRIAL AUTOMATION SPECIAL MACHINES ELECTRICAL SAFETY ENERGY EFFIDIENCY-BUILDING DRONE CONTROL SYSTEM NUCLEAR ENERGY SMATRPHONE FILTER`S POWER BIOGAS BELT CONVEYOR MATERIAL HANDLING RELAY ELECTRICAL INSTRUMENTS ENERGY SOURCE PLC`S TRANSFORMER AC CIRCUITS CIRCUIT SCHEMATIC SYMBOLS DDISCRETE SEMICONDUCTOR CIRCUITS WIND POWER C.B DEVICES DC CIRCUITS DIODES AND RECTIFIERS FUSE SPECIAL TRANSFORMER THERMAL POWER PLANT CELL CHEMISTRY EARTHING SYSTEM ELECTRIC LAMP FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 2 BIPOLAR JUNCTION TRANSISTOR 555 TIMER CIRCUITS AUTOCAD BLUETOOTH C PROGRAMMING HOME AUTOMATION HYDRO POWER LOGIC GATES OPERATIONAL AMPLIFIER`S SOLID-STATE DEVICE THEORRY COMPUTER DEFECE & MILITARY FLUORESCENT LAMP INDUSTRIAL ROBOTICS ANDROID ELECTRICAL DRIVES GROUNDING SYSTEM CALCULUS REFERENCE DC METERING CIRCUITS DC NETWORK ANALYSIS ELECTRICAL SAFETY TIPS ELECTRICIAN SCHOOL ELECTRON TUBES FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 1 INDUCTION MACHINES INSULATIONS USB ALGEBRA REFERENCE HMI[Human Interface Machines] INDUCTION MOTOR KARNAUGH MAPPING USEUL EQUIATIONS AND CONVERSION FACTOR ANALOG INTEGRATED CIRCUITS BASIC CONCEPTS AND TEST EQUIPMENTS DIGITAL COMMUNICATION DIGITAL-ANALOG CONVERSION ELECTRICAL SOFTWARE GAS TURBINE ILLUMINATION OHM`S LAW POWER ELECTRONICS THYRISTOR BOOLEAN ALGEBRA DIGITAL INTEGRATED CIRCUITS FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 3 PHYSICS OF CONDUCTORS AND INSULATORS SPECIAL MOTOR STEAM POWER PLANTS TESTING TRANSMISION LINE C-BISCUIT CAPACITORS COMBINATION LOGIC FUNCTION COMPLEX NUMBERS CONTROL MOTION ELECTRICAL LAWS INVERTER LADDER DIAGRAM MULTIVIBRATORS RC AND L/R TIME CONSTANTS SCADA SERIES AND PARALLEL CIRCUITS USING THE SPICE CIRCUIT SIMULATION PROGRAM AMPLIFIERS AND ACTIVE DEVICES APPS & SOFTWARE BASIC CONCEPTS OF ELECTRICITY CONDUCTOR AND INSULATORS TABLES CONDUITS FITTING AND SUPPORTS ELECTRICAL INSTRUMENTATION SIGNALS ELECTRICAL TOOLS INDUCTORS LiDAR MAGNETISM AND ELECTROMAGNETISM PLYPHASE AC CIRCUITS RECLOSER SAFE LIVING WITH GAS AND LPG SAFETY CLOTHING STEPPER MOTOR SYNCHRONOUS MOTOR AC METRING CIRCUITS BECOME AN ELECTRICIAN BINARY ARITHMETIC BUSHING DIGITAL STORAGE MEMROY ELECTRICIAN JOBS HEAT ENGINES HOME THEATER INPECTIONS LIGHT SABER MOSFET NUMERATION SYSTEM POWER FACTORS REACTANCE AND IMPEDANCE INDUCTIVE RECTIFIER AND CONVERTERS RESONANCE SCIENTIFIC NOTATION AND METRIC PREFIXES SULFURIC ACID TROUBLESHOOTING TROUBLESHOOTING-THEORY & PRACTICE 12C BUS APPLE BATTERIES AND POWER SYSTEMS DC MOTOR DRIVES ELECTROMECHANICAL RELAYS ENERGY EFFICIENCY-LIGHT INDUSTRIAL SAFETY EQUIPMENTS MEGGER MXED-FREQUENCY AC SIGNALS PRINCIPLE OF DIGITAL COMPUTING QUESTIONS REACTANCE AND IMPEDANCE-CAPATIVE SEQUENTIAL CIRCUITS SERRIES-PARALLEL COMBINATION CIRCUITS SHIFT REGISTERS WIRELESS BUILDING SERVICES COMPRESSOR CRANES DIVIDER CIRCUIT AND KIRCHHOFF`S LAW ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS 1 ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS B ELECTRICAL TOOL KIT ELECTRICIAN JOB DESCRIPTION INDUSTRIAL DRIVES LAPTOP SCIENCE THERMOCOUPLE TRIGONOMENTRY REFERENCE UART oscilloscope BIOMASS CONTACTOR ELECTRIC ILLUMINATION ELECTRICAL SAFETY TRAINING ELECTROMECHANICAL FEATURED FILTER DESIGN HARDWARE JUNCTION FIELD-EFFECT TRANSISTORS NASA NUCLEAR POWER VALVE COLOR CODES ELECTRIC TRACTION FLEXIBLE ELECTRONICS FLUKE GEARMOTORS INTRODUCTION LASSER PID PUMP SEAL ELECTRICIAN CAREER ELECTRICITY SUPPLY AND DISTRIBUTION MUSIC NEUTRAL PERIODIC TABLES OF THE ELEMENTS POLYPHASE AC CIRCUITS PROJECTS REATORS SATELLITE STAR DELTA VIBRATION WATERPROOF