Maalim Seif Sharif Hamad azungumzia hali ya afya yake leo - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Tuesday, 8 March 2016

Maalim Seif Sharif Hamad azungumzia hali ya afya yake leo

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam kuelezea maendeleo ya afya yake.

Amesema anaendelea vyema baada ya jana kuugua ghafla na kulazwa katika hospitali hiyo.

Amewashukuru wananchi ndani na nje ya nchi kwa kuonesha mapenzi na ushirikiano makubwa.

Anatarajiwa kutoka hospitalini hapo leo jioni (Picha na Salmin Said, OMKR)

Post a Comment