EL CLASICO Ipo njiani ni april 2 ndani ya nou camp - LEKULE

Breaking

27 Mar 2016

EL CLASICO Ipo njiani ni april 2 ndani ya nou camp

APRIL 2 Wanasema hatumwi mtoto dukani katika nchi ya hispania,ni ligi maarufu inayoitwa La liga ni watawala wakuu wa nchi hiyo barcelona na maadui zao real madrid.Katika mechi ya mwisho timu ya barcelona iliifunga timu hiyo ya real madrid magoli 4-0 katika dimba la santiago bernabeu


huku timu ya barcelona ikiongoza timu ligi yao ya uhispania na madrid wakishika nafasi ya tatu katika ligi ya uhispania



huku ikionekana piani vita kati ya safu ya ushambulizi ya real madrid inayoongozwa na ronaldo,balle na benzema huku pia na safu ya barcelona maarufu kama MSN



Na pia hili ndiyo dimba ambalo mtanange huo wa watani wa jadi hao ambao watapambana

No comments: