Watu 11 wafariki na wengine 29 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la kampuni ya Simba..(+Pichaz) - LEKULE

Breaking

11 Feb 2016

Watu 11 wafariki na wengine 29 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la kampuni ya Simba..(+Pichaz)

Habari za hivi punde ni ya watu 11 kufariki na wengine 26 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Simba na Lori lililokuwa limebeba mchanga na kugongana uso kwa uso Mkoani Tanga.
Akihojiwa na ITV kamanda wa Polisi Tanga RPC Mihayo Mskhela amesema ‘Hadi sasa kuna vifo vya watu 11, maiti sita na utaratibu wa kuwakabidhi ndugu unafanyika.’
Vipi kuhusu hali za majeruhi? ‘Majeruhi watano hali zao hadi sasa sio nzuri na Madereva wote wamefariki‘ Kamanda Mihayo
IMG-20160211-WA0003
IMG-20160211-WA0004
IMG-20160211-WA0005
IMG-20160211-WA0006
IMG-20160211-WA0008
IMG-20160211-WA0010
IMG-20160211-WA0011

No comments: