Ujumbe wa Umoja wa Afrika wawasili Bujumbura

Katibu mkuu wav Umoja wa mataifa Ban Ki-Moon baada ya mazungumzo yake pamoja na rais Pierre Nkurunziza
Viongozi 5 wa Afrika wameanza ziara ya siku mbili mjini Bujumbura Burundi kujaribu kuwatanabahisha rais Pierre Nkurunziza na upande wa upinzani waanzishe majadiliano ili kuupatia ufumbuzi mzozo uliopo.
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ameshawasili katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura,akiongoza ujumbe wa Umoja wa Afrika ulioamuliwa kuundwa viongozi wa Umoja huo walipokutana mwishoni mwa mwezi wa january uliopita mjini Addis Abeba. Mbali na rais Zuma,ujumbe huo wa Umoja wa Afrika unawaleta pamoja marais wa Mauritania Mohammed Ould Abdel Aziz,Macky Sall wa Senegal,Ali Bongo Ondimba wa Gabon na waziri mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Dessalegn.
Mara baada ya kuwasili viongozim hao wa nchi tano za Umoja wa Afrika wamekwenda kuweka mashada ya mauwa kwenye makaburi ya wahanga wa demokrasia,ikiwa ni pamoja na lile la rais wa kwanza kuchaguliwa kwa njia za kidemkorasia nchini humo Melchior Ndadaye.
Kuwasili ujumbe huo wa viongozi wa mataifa ya Afrika mjini Bujumbura ni sehemu ya juhudi jumla za kidiplomasia za kujaribu kusaka ufumbuzi wa amani kwa mzozo wa Burundi.(P.T)

Thibitisho la serikali kwa Ban Ki-Moon
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban-Ki-Moon,ambae binafsi alikuwa zirani mjini Bujumbura jumatatu na jumanne wiki hii,alihakikisha kwamba amepatiwa thibitisho na rais Pierre Nkurunziza kwamba mjadala utakaozihusisha pande zote utaanzishwa nchini humo.
Juhudi za awali za majadiliano zilishindwa kwasababu serikali ya Burundi haikuwa ikitaka kuzungumza na baadhi ya vyama vya upinzani.
"Viongozi wa mataifa ya Afrika wanakuja kujadiliana na serikali pamoja na wahusika wengine kuhusu namna ya kuanzisha mdahalo wa pande zote," amesema mwanadiplomasia mmoja wa kiafrika aliyeko mjini Bujumbura na ambae hakutaka jina lake lijulikane.
Suala la wanajeshi wa Afrika halizungumziwi
"Mada ya kutumwa kikosi cha nchi za Afrika haimo katika ajenda ya mazungumzo" ameongeza kusema mwanadiplomasia huyo.
Umoja wa Afrika uliamua mwezi decemba mwaka jana kutuma kikosi cha wanajeshi 5000 nchini Burundi ili kuzuwia wimbi la matumizi ya nguvu. Lakini uamuzi huo ulikabiliwa na upinzani mkubwa wa rais Pierre Nkurunziza pamoja pia na viongozi kadhaa wa Afrika katika mkutano wao wa kilele mwezi Januari.
Burundi imetumbukia katika mzozo wa kisiasa na kugubikwa na matumizi ya nguvu tangu rais Pierre Nkurunziza alipotangaza kugombea mhula wa tatu mwezi wa aprili mwaka 2015.
Matumizi ya nguvu yaliyofuatia yameangamiza maisha ya zaidi ya watu 400 na zaidi ya 240.000 kuihama nchi hiyo. Mashirika yanayopigania haki za binaadamu yanazungumzia kuhusu kuwepo makaburi ya jumla,visa kadhaa vya watu kuuliwa kiholela,mauwaji yaliyolengwa na kudai ufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusu madai hayo. 
Previous
Next Post »
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Label

KITAIFA NEWS KIMATAIFA MICHEZO BURUDANI SIASA TECHNICAL ARTICLES f HAPA KAZI TU. LEKULE TV EDITORIALS ARTICLES DC DIGITAL ROBOTICS SEMICONDUCTORS MAKALA GENERATOR GALLERY AC EXPERIMENTS MANUFACTURING-ENGINEERING MAGAZETI REFERENCE IOT FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY ELECTRONICS ELECTRICAL ENGINEER MEASUREMENT VIDEO ZANZIBAR YETU TRANSDUCER & SENSOR MITINDO ARDUINO RENEWABLE ENERGY AUTOMOBILE SYNCHRONOUS GENERATOR ELECTRICAL DISTRIBUTION CABLES DIGITAL ELECTRONICS AUTOMOTIVE PROTECTION SOLAR TEARDOWN DIODE AND CIRCUITS BASIC ELECTRICAL ELECTRONICS MOTOR SWITCHES CIRCUIT BREAKERS MICROCONTROLLER CIRCUITS THEORY PANEL BUILDING ELECTRONICS DEVICES MIRACLES SWITCHGEAR ANALOG MOBILE DEVICES CAMERA TECHNOLOGY GENERATION WEARABLES BATTERIES COMMUNICATION FREE CIRCUITS INDUSTRIAL AUTOMATION SPECIAL MACHINES ELECTRICAL SAFETY ENERGY EFFIDIENCY-BUILDING DRONE NUCLEAR ENERGY CONTROL SYSTEM FILTER`S SMATRPHONE BIOGAS POWER TANZIA BELT CONVEYOR MATERIAL HANDLING RELAY ELECTRICAL INSTRUMENTS PLC`S TRANSFORMER AC CIRCUITS CIRCUIT SCHEMATIC SYMBOLS DDISCRETE SEMICONDUCTOR CIRCUITS WIND POWER C.B DEVICES DC CIRCUITS DIODES AND RECTIFIERS FUSE SPECIAL TRANSFORMER THERMAL POWER PLANT cartoon CELL CHEMISTRY EARTHING SYSTEM ELECTRIC LAMP ENERGY SOURCE FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 2 BIPOLAR JUNCTION TRANSISTOR 555 TIMER CIRCUITS AUTOCAD C PROGRAMMING HYDRO POWER LOGIC GATES OPERATIONAL AMPLIFIER`S SOLID-STATE DEVICE THEORRY DEFECE & MILITARY FLUORESCENT LAMP HOME AUTOMATION INDUSTRIAL ROBOTICS ANDROID COMPUTER ELECTRICAL DRIVES GROUNDING SYSTEM BLUETOOTH CALCULUS REFERENCE DC METERING CIRCUITS DC NETWORK ANALYSIS ELECTRICAL SAFETY TIPS ELECTRICIAN SCHOOL ELECTRON TUBES FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 1 INDUCTION MACHINES INSULATIONS ALGEBRA REFERENCE HMI[Human Interface Machines] INDUCTION MOTOR KARNAUGH MAPPING USEUL EQUIATIONS AND CONVERSION FACTOR ANALOG INTEGRATED CIRCUITS BASIC CONCEPTS AND TEST EQUIPMENTS DIGITAL COMMUNICATION DIGITAL-ANALOG CONVERSION ELECTRICAL SOFTWARE GAS TURBINE ILLUMINATION OHM`S LAW POWER ELECTRONICS THYRISTOR USB AUDIO BOOLEAN ALGEBRA DIGITAL INTEGRATED CIRCUITS FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 3 PHYSICS OF CONDUCTORS AND INSULATORS SPECIAL MOTOR STEAM POWER PLANTS TESTING TRANSMISION LINE C-BISCUIT CAPACITORS COMBINATION LOGIC FUNCTION COMPLEX NUMBERS ELECTRICAL LAWS HMI[HUMANI INTERFACE MACHINES INVERTER LADDER DIAGRAM MULTIVIBRATORS RC AND L/R TIME CONSTANTS SCADA SERIES AND PARALLEL CIRCUITS USING THE SPICE CIRCUIT SIMULATION PROGRAM AMPLIFIERS AND ACTIVE DEVICES BASIC CONCEPTS OF ELECTRICITY CONDUCTOR AND INSULATORS TABLES CONDUITS FITTING AND SUPPORTS CONTROL MOTION ELECTRICAL INSTRUMENTATION SIGNALS ELECTRICAL TOOLS INDUCTORS LiDAR MAGNETISM AND ELECTROMAGNETISM PLYPHASE AC CIRCUITS RECLOSER SAFE LIVING WITH GAS AND LPG SAFETY CLOTHING STEPPER MOTOR SYNCHRONOUS MOTOR AC METRING CIRCUITS APPS & SOFTWARE BASIC AC THEORY BECOME AN ELECTRICIAN BINARY ARITHMETIC BUSHING DIGITAL STORAGE MEMROY ELECTRICIAN JOBS HEAT ENGINES HOME THEATER INPECTIONS LIGHT SABER MOSFET NUMERATION SYSTEM POWER FACTORS REACTANCE AND IMPEDANCE INDUCTIVE RESONANCE SCIENTIFIC NOTATION AND METRIC PREFIXES SULFURIC ACID TROUBLESHOOTING TROUBLESHOOTING-THEORY & PRACTICE 12C BUS APPLE BATTERIES AND POWER SYSTEMS ELECTROMECHANICAL RELAYS ENERGY EFFICIENCY-LIGHT INDUSTRIAL SAFETY EQUIPMENTS MEGGER MXED-FREQUENCY AC SIGNALS PRINCIPLE OF DIGITAL COMPUTING QUESTIONS REACTANCE AND IMPEDANCE-CAPATIVE RECTIFIER AND CONVERTERS SEQUENTIAL CIRCUITS SERRIES-PARALLEL COMBINATION CIRCUITS SHIFT REGISTERS BUILDING SERVICES COMPRESSOR CRANES DC MOTOR DRIVES DIVIDER CIRCUIT AND KIRCHHOFF`S LAW ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS 1 ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS B ELECTRICAL TOOL KIT ELECTRICIAN JOB DESCRIPTION LAPTOP THERMOCOUPLE TRIGONOMENTRY REFERENCE UART WIRELESS BIOMASS CONTACTOR ELECTRIC ILLUMINATION ELECTRICAL SAFETY TRAINING FILTER DESIGN HARDWARE INDUSTRIAL DRIVES JUNCTION FIELD-EFFECT TRANSISTORS NASA NUCLEAR POWER SCIENCE VALVE WWE oscilloscope 3D TECHNOLOGIES COLOR CODES ELECTRIC TRACTION FEATURED FLEXIBLE ELECTRONICS FLUKE GEARMOTORS INTRODUCTION LASSER MATERIAL PID PUMP SEAL ELECTRICIAN CAREER ELECTRICITY SUPPLY AND DISTRIBUTION MUSIC NEUTRAL PERIODIC TABLES OF THE ELEMENTS POLYPHASE AC CIRCUITS PROJECTS REATORS SATELLITE STAR DELTA VIBRATION WATERPROOF