Mji wa Allepo unasababisha majanga

wakala wa utoaji misaada wametoa onyo kuhusiana na majanga ya kibinadamu nchini Syria ambayo yanasababishwa na mapigano yanayoendelea magharibi mwa mji wa Aleppo unasababisha majanga.
baraza la kimataifa la shirika la msalaba mwekundlinasema usambazaji wa maji katika mji huo umesimamishwa sasa ni wiki mbili zimepita huku kituo cha pampu kikiwa kimeharibiwa. wasambazaji wengine wa misaada wamesitisha huduma huku kukiwa na tatizo la mafuta na umeme.
Madaktari wa kujitolea wasio na mipaka wanasema hospitali zipatazo tatu zimeteketezwa na mashambulizi ya anga.
ICRC imesema misaada zaidi ya chakula,maji na madawa yanahitajika katika siku za usoni.
Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.
Powered by Blogger.