Hello

Welcome lekule blog

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation.
together in the world. #lekule86
Join us on

KLABU YA KIMATAIFA LIONS CLUB INTERNATIONAL YATOA MSAADA WA MADAWATI YA CHUMA SHINYANGA


Leo Februari 24,2016 ,Chama cha Kimataifa kinachotoa misaada mbalimbali ya Kijamii cha Lions Club International chenye makao yake makuu nchini Marekani kimetoa msaada wa madawati 165 yenye thamani ya shilingi milioni 18 katika shule ya msingi Town na Mwenge zilizopo katika manispaa ya Shinyanga ili kumaliza changamoto ya wanafunzi kukaa chini.

Pichani viongozi wa wilaya ya Shinyanga,wazazi na maafisa kutoka Lions Club International wakiongozwa na Gavana wa Lions Club katika nchi ya Tanzania, Uganda na Sudani ya Kusini bwana Hyderali Gangji wakiwa katika shule ya msingi Town...Madawati hayo 165 yametolewa na Lions Club ya mkoa wa Mwanza.Mwandishi mkuu wa Malunde1 blog,Kadama  Malunde ametuletea picha 30 kilichojiri mwanzo hadi mwisho. Gavana wa Lions Club International katika nchi ya Tanzania na Uganda na Sudani ya Kusini Hyderali Gangji alisema wamekuwa wakitoa misaada mbalimbali mkoani Shinyanga ambapo mwaka jana walitoa msaada wa chakula kwa wahanga wa mvua ya Mwakata wilayani Kahama,pia chakula katika kituo cha walemavu wa ngozi cha Buhangija,kutoa madawati katika shule ya msingi Town na Mwenge Miongoni mwa madawati ya chuma 165 yaliyotolewa na Lions Club International katika shule ya msingi Town na Mwenge katika manispaa ya Shinyanga Hapa ni katika shule ya msingi Town katika manispaa ya Shinyanga ,aliyesimama ni mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo Said Juma Issa akiwakaribisha viongozi mbalimbali waliofika katika shule wakati wa hafla fupi ya kukabidhi madawati 65 kwa shule hiyo na 100 katika shule ya msingi Mwenge Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Town wakiangalia madawati waliyopewa na Lions Club International Kulia ni diwani wa kata ya Shinyanga mjini,ambaye pia ni meya wa manispaa ya Shinyanga Gulam Hafeez Mukadam aliyefanya jitihada za kupatikana kwa madawati katika shule za kata yake,Town na Mwenge.Diwani huyo pia ni mwanachama wa Lions Club International Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Town Josephine Mabula akisoma risala kwa mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ambapo alisema shule hiyo yenye wanafunzi 1104 sasa haina uhaba tena wa madawati baada ya kupokea kutoka Lions Club International Kulia ni mkurugenzi wa manispaa ya Shinyanga Lewis Kalinjuna,katikati ni mgeni rasmi,ambaye ni mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akifuatiwa na gavana wa Lions Club International katika nchi ya Tanzania na Uganda na Sudani ya Kusini Hyderali Gangji Mkurugenzi wa manispaa ya Shinyanga Lewis Kalinjuna akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi madawati,ambapo mbali na kuipongeza Lions Club International kwa kutoa msaada huo,aliwataka madiwani wa manispaa ya Shinyanga kufanya kazi badala ya kukalia maneno maneno kwani kiongozi mzuri anapimwa kwa maendeleo anayowaletea wananchi wake. Mkurugenzi wa manispaa ya Shinyanga Lewis Kalinjuna alisema hivi sasa manispaa hiyo imeanza kutoa shilingi milioni 10 kila mwezi kwa ajili ya kutatua changamoto ya uhaba wa madawati katika shule za manispaa hiyo huku akiwataka wananchi kuendelea kuisaidia serikali kwa michango mbalimbali ili watoto wasome vizuri Gavana wa Lions Club International katika nchi ya Tanzania na Uganda na Sudani ya Kusini Hyderali Gangji akizungumza katika hafla hiyo ambapo alisema wameamua kutoa msaada huo ili kuwaondolea changamoto wanafunzi ya kukaa chini wakati wa masomo ili kuinua kiwango cha elimu hapa nchini ikiwa ni moja ya majukumu yao kusaidiaa jamii na serikali.Alitumia fursa hiyo kuwataka wananchi kujenga moyo wa kutoa kwani serikali pekee haiwezi kumaliza matatizo ya wananchi Wanachama wa Lions Club International mkoa wa Shinyanga wakiwa eneo la tukio,ambao wameahidi kupaka rangi majengo ya shule ya msingi Town Wazazi na walezi wa wanafunzi wakishuhudia kilichokuwa kinaendelea Gavana wa Lions Club International katika nchi ya Tanzania na Uganda na Sudani ya Kusini Hyderali Gangji akijiandaa kukata utepe wakati wa hafla fupi ya kukabidhi madawati 165 kwa shule ya msingi Town na Mwenge zilizopo katika manispaa ya Shinyanga Gavana wa Lions Club International katika nchi ya Tanzania na Uganda na Sudani ya Kusini Hyderali Gangji tayari amekata utepe.... Gavana wa Lions Club International katika nchi ya Tanzania na Uganda na Sudani ya Kusini Hyderali Gangji akishikana mkono na mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro baada kukabidhi madawati 165 Wanafurahia jambo..... Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro akimshukuru Gavana waLions Club International katika nchi ya Tanzania na Uganda na Sudani ya Kusini Hyderali Gangji kwa kutoa msaada wa madawati katika shule za manispaa ya Shinyanga,ambapo alitangaza kujiunga na klabu hiyo ili kuungana na wanachama wengine wa klabu hiyo ambayo imekuwa msaada mkubwa kwa jamii Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro aliishukuru Lions Club International kwa kuisaidia serikali kuchangia shule hizo huku akipongeza jitihada za diwani wa kata hiyo kupigania shule zake kupata msaada huo wa madawati. Matiro alitumia fursa hiyo kuwataka madiwani wa manispaa ya Shinyanga kuiga mfano wa diwani wa kata ya Shinyanga mjini Gulam Hafeez Mukadam ambaye amemaliza tatizo la uhaba wa madawati katika shule za msingi katika kata yake huku akiwataka kufanya kazi ili kuwaletea maendeleo wananchi badala ya kuendekeza siasa na maneno yasiyokuwa na faida kwa wananchi
Aliyesimama ni katibu wa Lions Club ya Shinyanga bwana Sandip Lakhan akizungumza katika hafla hiyo ya kukabidhi madawati.Alisema Lions Club ya mkoa wa Shinyanga imetoa baiskeli kwa mkazi wa Bubiki wilayani Kishapu mkoani Shinyanga Mussa Mipawa,ambaye ni mlemavu wa viungo,iliyotengenezwa na mwanachama wa Klabu hiyo Mussa Mipawa akiwashukuru wanachama wa Lions Club International kwa kumpa msaada wa baiskeli ya magurudumu matatu
Bwana Mussa Mipawa akishikana mkono na mke wa Gavana wa Lions Club International katika nchi ya Tanzania na Uganda na Sudani ya Kusini Hyderali Gangji Bwana Mussa Mipawa akiwa katika baiskeli yake
Bwana Mussa Mipawa akiondoka na baiskeli yake-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog Shinyanga

Share this:

ABOUTME

Hi all. This is deepak from Bthemez. We're providing content for Bold site and we’ve been in internet, social media and affiliate for too long time and its my profession. We are web designer & developer living India! What can I say, we are the best..

Post a Comment
My photo

Hi, I`m Sostenes, Electrical Technician and PLC`S Programmer.
Everyday I`m exploring the world of Electrical to find better solution for Automation. I believe everyday can become a Electrician with the right learning materials.
My goal with BLOG is to help you learn Electrical.

Labels

LEKULE TV EDITORIALS ARTICLES DC ROBOTICS DIGITAL SEMICONDUCTORS GENERATOR AC EXPERIMENTS MANUFACTURING-ENGINEERING REFERENCE FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY ELECTRONICS ELECTRICAL ENGINEER MEASUREMENT TRANSDUCER & SENSOR VIDEO ARDUINO RENEWABLE ENERGY AUTOMOBILE TEARDOWN SYNCHRONOUS GENERATOR DIGITAL ELECTRONICS ELECTRICAL DISTRIBUTION CABLES AUTOMOTIVE MICROCONTROLLER SOLAR PROTECTION DIODE AND CIRCUITS BASIC ELECTRICAL ELECTRONICS MOTOR SWITCHES CIRCUIT BREAKERS CIRCUITS THEORY PANEL BUILDING ELECTRONICS DEVICES MIRACLES SWITCHGEAR ANALOG MOBILE DEVICES WEARABLES CAMERA TECHNOLOGY COMMUNICATION GENERATION BATTERIES FREE CIRCUITS INDUSTRIAL AUTOMATION SPECIAL MACHINES ELECTRICAL SAFETY ENERGY EFFIDIENCY-BUILDING DRONE CONTROL SYSTEM NUCLEAR ENERGY SMATRPHONE FILTER`S POWER BIOGAS BELT CONVEYOR MATERIAL HANDLING RELAY ELECTRICAL INSTRUMENTS ENERGY SOURCE PLC`S TRANSFORMER AC CIRCUITS CIRCUIT SCHEMATIC SYMBOLS DDISCRETE SEMICONDUCTOR CIRCUITS WIND POWER C.B DEVICES DC CIRCUITS DIODES AND RECTIFIERS FUSE SPECIAL TRANSFORMER THERMAL POWER PLANT CELL CHEMISTRY EARTHING SYSTEM ELECTRIC LAMP FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 2 BIPOLAR JUNCTION TRANSISTOR 555 TIMER CIRCUITS AUTOCAD BLUETOOTH C PROGRAMMING HOME AUTOMATION HYDRO POWER LOGIC GATES OPERATIONAL AMPLIFIER`S SOLID-STATE DEVICE THEORRY COMPUTER DEFECE & MILITARY FLUORESCENT LAMP INDUSTRIAL ROBOTICS ANDROID ELECTRICAL DRIVES GROUNDING SYSTEM CALCULUS REFERENCE DC METERING CIRCUITS DC NETWORK ANALYSIS ELECTRICAL SAFETY TIPS ELECTRICIAN SCHOOL ELECTRON TUBES FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 1 INDUCTION MACHINES INSULATIONS USB ALGEBRA REFERENCE HMI[Human Interface Machines] INDUCTION MOTOR KARNAUGH MAPPING USEUL EQUIATIONS AND CONVERSION FACTOR ANALOG INTEGRATED CIRCUITS BASIC CONCEPTS AND TEST EQUIPMENTS DIGITAL COMMUNICATION DIGITAL-ANALOG CONVERSION ELECTRICAL SOFTWARE GAS TURBINE ILLUMINATION OHM`S LAW POWER ELECTRONICS THYRISTOR BOOLEAN ALGEBRA DIGITAL INTEGRATED CIRCUITS FUNDAMENTAL OF ELECTRICITY 3 PHYSICS OF CONDUCTORS AND INSULATORS SPECIAL MOTOR STEAM POWER PLANTS TESTING TRANSMISION LINE C-BISCUIT CAPACITORS COMBINATION LOGIC FUNCTION COMPLEX NUMBERS CONTROL MOTION ELECTRICAL LAWS INVERTER LADDER DIAGRAM MULTIVIBRATORS RC AND L/R TIME CONSTANTS SCADA SERIES AND PARALLEL CIRCUITS USING THE SPICE CIRCUIT SIMULATION PROGRAM AMPLIFIERS AND ACTIVE DEVICES APPS & SOFTWARE BASIC CONCEPTS OF ELECTRICITY CONDUCTOR AND INSULATORS TABLES CONDUITS FITTING AND SUPPORTS ELECTRICAL INSTRUMENTATION SIGNALS ELECTRICAL TOOLS INDUCTORS LiDAR MAGNETISM AND ELECTROMAGNETISM PLYPHASE AC CIRCUITS RECLOSER SAFE LIVING WITH GAS AND LPG SAFETY CLOTHING STEPPER MOTOR SYNCHRONOUS MOTOR AC METRING CIRCUITS BECOME AN ELECTRICIAN BINARY ARITHMETIC BUSHING DIGITAL STORAGE MEMROY ELECTRICIAN JOBS HEAT ENGINES HOME THEATER INPECTIONS LIGHT SABER MOSFET NUMERATION SYSTEM POWER FACTORS REACTANCE AND IMPEDANCE INDUCTIVE RECTIFIER AND CONVERTERS RESONANCE SCIENTIFIC NOTATION AND METRIC PREFIXES SULFURIC ACID TROUBLESHOOTING TROUBLESHOOTING-THEORY & PRACTICE 12C BUS APPLE BATTERIES AND POWER SYSTEMS DC MOTOR DRIVES ELECTROMECHANICAL RELAYS ENERGY EFFICIENCY-LIGHT INDUSTRIAL SAFETY EQUIPMENTS MEGGER MXED-FREQUENCY AC SIGNALS PRINCIPLE OF DIGITAL COMPUTING QUESTIONS REACTANCE AND IMPEDANCE-CAPATIVE SEQUENTIAL CIRCUITS SERRIES-PARALLEL COMBINATION CIRCUITS SHIFT REGISTERS WIRELESS BUILDING SERVICES COMPRESSOR CRANES DIVIDER CIRCUIT AND KIRCHHOFF`S LAW ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS 1 ELECTRICAL DISTRIBUTION EQUIPMENTS B ELECTRICAL TOOL KIT ELECTRICIAN JOB DESCRIPTION INDUSTRIAL DRIVES LAPTOP SCIENCE THERMOCOUPLE TRIGONOMENTRY REFERENCE UART oscilloscope BIOMASS CONTACTOR ELECTRIC ILLUMINATION ELECTRICAL SAFETY TRAINING ELECTROMECHANICAL FEATURED FILTER DESIGN HARDWARE JUNCTION FIELD-EFFECT TRANSISTORS NASA NUCLEAR POWER VALVE COLOR CODES ELECTRIC TRACTION FLEXIBLE ELECTRONICS FLUKE GEARMOTORS INTRODUCTION LASSER PID PUMP SEAL ELECTRICIAN CAREER ELECTRICITY SUPPLY AND DISTRIBUTION MUSIC NEUTRAL PERIODIC TABLES OF THE ELEMENTS POLYPHASE AC CIRCUITS PROJECTS REATORS SATELLITE STAR DELTA VIBRATION WATERPROOF