CONGO DRC MABINGWA WA CHAN - LEKULE

Breaking

8 Feb 2016

CONGO DRC MABINGWA WA CHAN

Timu ya taifa ya Jamuhuri ya kidemocras ya Congo imetwaa ubingwa wa kombe la Chan baada ya kuichapa Mali kwa mabao 3-0.
Magoli ya ushindi yalifungwa mchezaji Mechak Elia aliyefunga mara mbili,huku mshambuliaji Jonathan Bolingi akifunga bao moja
Na huu ni ubingwa wa pili kwa timu ya taifa ya Congo Drc chini ya mwalimu Florent Ibenge kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani .
Nayo timu ya taifa Ivory Coast imemaliza katika nafasi yaa tatu katika michuano hiyo baada ya kuichapa Guinea kwa Mabao 2-1

No comments: