Barua aliyoiandika Mtanzania Jackline Cliff kutoka gerezani China - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Thursday, 18 February 2016

Barua aliyoiandika Mtanzania Jackline Cliff kutoka gerezani ChinaIkiwa ni miaka miwili toka video vixen Jackie Cliff akamatwe kwenye uwanja wa ndege na kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la kujaribu kuingiza dawa za kulevya, ameandika barua ya wazi kwa watanzania ambapo amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu maisha yake.


Barua hiyo imesomwa kwa mara ya kwanza na kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM Jumanne hii na mtangazaji wa kipindi hicho Millard Ayo.
 

Sikiiza hapa.


Post a Comment