Abiria wanusurika kuzama baharini baada ya Pantoni kuzima ghafla Dar - LEKULE BLOG

Breaking

YOUTUBE

11 Feb 2016

Abiria wanusurika kuzama baharini baada ya Pantoni kuzima ghafla Dar

Taarifa zilizo make headline muda huu ni pamoja na hii ya Pantoni kuzima ghafla Dar na kulazimika abiria wajitose baharini kuokoa maisha yao, hadi sasa haijafahamika athari iliyopatikana. Endelea kukaa karibu nasi ili zote zitakazonifikia iwe rahisi kukusogezea. Na hizi ni picha za mwanzo..!
3
.
IMG-20160211-WA0009
IMG-20160211-WA0012
Post a Comment