Walichokiamua Wasanii kuhusu malipo wenyewe..! (+Video) - LEKULE BLOG

Breaking

Header Ads

Wednesday, 6 January 2016

Walichokiamua Wasanii kuhusu malipo wenyewe..! (+Video)Wizara ya habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ilitangaza kuwa wasanii wa Tanzania kuanza kulipwa pindi nyimbo zao zinapochezwa katika vituo vya Redio na Tv.
Januari 5 2016 wasanii walikutana kulijadili suala hilo, na haya ndio maamuzi waliyoafikiana.Post a Comment