Wakenya hawajaipenda hii !! Rais Kenyatta anaendesha gari na hajafunga mkanda. - LEKULE

Breaking

3 Jan 2016

Wakenya hawajaipenda hii !! Rais Kenyatta anaendesha gari na hajafunga mkanda.

Kama kumbukumbu zangu ziko sawa hii itakuwa ni mara ya pili kumuona Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta anakaa kwenye kiti cha dereva na kujiendesha mwenyewe kwenye gari !!
Hii mpya ni kipande cha interview aliyofanyiwa Rais Kenyatta na mtangazaji wa Citizen TV, Jacque Maribe… ni kipande cha sekunde 15 za promo ya interview hiyo lakini inaonekana Wakenya wengi hawajapenda kuona Rais wao anaendesha gari huku akiwa hajavaa mkanda.
 Video yenyewe hii hapa.

Video nyingine ni hii hapa, Rais Kenyatta akijiendesha mwenyewe kwenye gari baada yaMahakama ya ICC kufuta mashtaka yake.


No comments: